Pages

Friday, April 4, 2014

Je! Unafahamu Kuwa Singida ndiko kuna kijiji ambapo ndio katikati ya nchi ya Tanzania?

 Hapa ndio Sukamahela maeneo ya Manyoni, mkoani Singida, ambapo ndipo katikati kabisa ya nchi ya Tanzania. Alama yake iko kuleeee juu ya miamba hapo chini ambako ukiangalia kwa makini juu ya mwamba uliochomoza kulia pana alama kama ya nyani aliyesimama inayoashiria hivyo. 

No comments:

Post a Comment